UNATAKA KUPIMWA AFYA YAKO BURE?,KAMA UKO MUSOMA NENDA UWANJA WA MUKENDO KWENYE BANDA LA NSSF KATIKA MAAZIMISHO YA WIKI YA MAZIWA
WANANCHI WA MJI WA MUSOMA WAKISUBILI KUPIMWA AFYA ZAO BURE KUTOKA NSSF NI VYEMA KUJUA AFYA YAKO TUNASUBILI KUPIMWA ...