Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi chaeti, Mkurugeniz wa Kagera Sugar...
WALEMAVU MARA WAOMBA KUSHIRIKISHWA KATIKA VIKAO VYA MAAMUZI
Baadhi ya Walemavu katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara wameomba kushirikishwa katika Vikao mbalimbali vya Maamuzi Mkoani h...
TEMBELE BANDA NAMBA SITA LA MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF) KATIUKA MAONYESHO YA SIDO UWANJA WA MKENDO UFAHAMU NAMNA MJASILIAMALI UNAVYOWEZA KUWEKA AKIBA YAKO YA PENSHENI
WAJASILIAMALI WAKIPATA MAELEZO KUTOA KWA AFISA MFAWIDHI WA PSPF SUDI HAMZA KATIKA VIWANJA VYA MUKENDO MAAFISA WA PSPF KATIKA MAELEKEZ...
MAFUNZO YA SIKU TANO YA MAMBO YA BLOG KUTOKA TMF NDIO YANAANZA HAPA DODOMA
Washiriki wa mafunzo ya uboreshaji wa uandishi wa mitandao ya kijamii kama blog na mingine wakiwa katika ukumbi wa Dodoma H...
BILIONI 52 KUWEKEZWA MUSOMA KUWAKOMBOA WANANCHI
TAASISI ya mfuko wa uwekezaji kiuchumi katika tarafa ya Nyanja(NEIT) Halimashauri ya Musoma mkoani Mara inatarajia kuwekeza zaidi ya ...
TEMBO WAVAMIA MAKAZI YA WANANCHI SERENGETI
WANANCHI wanaoishi kandokando ya Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara, wanahitaji msaada wa haraka wa chakula kutokana na uvamizi wa ma...
ASKOFU ANGLICANA JIMBO LA RORYA AFUNGULIWA MASHITAKA YA KUOMBWA TARAKA
Askofu wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Rorya John Adiema,amefunguliwa mashitaka na mke wake ambapo pamoja na mambo mengine Mwanamke huy...
WATOTO WAPATAO 946 MKOANI MARA UPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA UGONJWA MALARIA
JUMLA ya wapatao 946 chini ya miaka mitano mkoani Mara wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa malaria katika kipindi cha Januari ha...
MWALIMU ATIWA MBARONI KWA KUOMBA RUSHWA YA NGONO
TAASISI ya Kuzui na Kupambana na Rushwa mkoani Mara (TAKUKURU) inamshikilia Mkurugenzi wa kituo cha Makoye Education Centre kilichopo m...
WANAFUNZI 2333 KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MUSOMA
J UMLA ya wanafunzi 2333 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne ulioanza leo katika Manispaa ya Musoma huku Idara ya el...
NYERERE AKASIRISHWA NA WANAFUNZI KUTANDIKWA VIBOKO NA POLISI WAKITAFUTA HAKI
MBUNGE wa Jimbo la Musoma Mjini Vicent Nyerere(CHADEMA) amekasilishwa na kitendo cha kudhrumiwa wanafunzi na kupelekea jeshi la polisi...
WANAOISHI NA ULEMAVU MKOANI MARA WAOMBA MSAADA
BAADHI YA WATU WANAOISHI NA ULEMAVU WAKIWA KWENYE WARSHA MWENYEKITI WA CHAWATA MARA MR MAGAI CHAMA cha Walemavu Tanzania (...