2
KAMBIREDD'S MISS MARA 2013 KUANZA KESHO HOTEL MALTIVILA-MUSOMA KAMBIREDD'S MISS MARA 2013 KUANZA KESHO HOTEL MALTIVILA-MUSOMA

MAANDALIZI ya kumtafuta mrembo atakeuwakilisha mkoa wa Mara katika mashindano ya urembo ya ngazi ya Kanda na baadae Taifa yameanza...

0
 WABUNGE WA DRC WAMPONGEZA JK KWA MSIMAMO WAKE WA KUSAKA AMANI YA KUDUMU CONGO WABUNGE WA DRC WAMPONGEZA JK KWA MSIMAMO WAKE WA KUSAKA AMANI YA KUDUMU CONGO

    Kufuatia wito wa rais Jakaya Kikwete kwa marais wa mataifa ya maziwa Makuu marais Paul Kagame, wa Rwa...

0
 BALOZI BISWARO AWAPA CHANGAMOTO STARS, ETHIOPIA BALOZI BISWARO AWAPA CHANGAMOTO STARS, ETHIOPIA

  Na: Boniface Wambura,  Addis Ababa Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Joram Biswaro a...

0
KATIBU TAWALA MKOA WA MARA AFIKISHWA MAHAKAMANI NA TAASISI YA KUZUI NA KUPAMBANA NA RUSHWA(TAKUKURU) KATIBU TAWALA MKOA WA MARA AFIKISHWA MAHAKAMANI NA TAASISI YA KUZUI NA KUPAMBANA NA RUSHWA(TAKUKURU)

TAASISI ya Kuzui na Kupambana na Rushwa mkoani Mara (TAKUKURU) imemfungulia Shauri la jinai namba 85 ya mwaka 2013 inayohusu matumizi mabay...

0
WASHKILIWA KWA TUHUMA ZA KUUA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI WASHKILIWA KWA TUHUMA ZA KUUA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI

WATU wawili wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mara kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondar...

2
 MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MWENYEKITI MSTAAFU WA KAMATI TENDAJI YA BUNGE LA CHINA NA UJUMBE WAKE. MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MWENYEKITI MSTAAFU WA KAMATI TENDAJI YA BUNGE LA CHINA NA UJUMBE WAKE.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa Bunge la Ch...

0
 FANI YA UANDISHI WA HABARI IMEVAMIWA, TUSIPOZIBA UFA TUTAJENGA UKUTA FANI YA UANDISHI WA HABARI IMEVAMIWA, TUSIPOZIBA UFA TUTAJENGA UKUTA

Pichani ni waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika maandamano ya amani (Picha na Maktaba).  --- Watu wengi kwa s...

0
TAKUKURU MARA YAPELEKA WATUMISHI WATATU WA HALIMASHAURI MAHAKAMANI TAKUKURU MARA YAPELEKA WATUMISHI WATATU WA HALIMASHAURI MAHAKAMANI

TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa(TAKUKURU) mkoani Mara imewafikisha mahakamani watumishi watatu wa Halimashauri ya wilaya ya Muso...

0
JELA MIAKA 56 KWA KUTAPELI KANISANI JELA MIAKA 56 KWA KUTAPELI KANISANI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi ya mkoa wa Mara imemuhukumu kifungo cha miaka 56 jela mkazi wa Songea mkoni Ruvuma Jossey Joseph (36)...

1
JIANDAE KWA AJILI YA MISS MARA 2013 BLOG HII IKIWA NI MOJA YA WADHAMINI KWA AJILI YA MATANGAZO JIANDAE KWA AJILI YA MISS MARA 2013 BLOG HII IKIWA NI MOJA YA WADHAMINI KWA AJILI YA MATANGAZO

0
*NGASSA AREJEA 'NYUMBANI' YANGA ASAINI MKATABA WA MIAKA 2, ATAMBULISHWA RASMI LEO *NGASSA AREJEA 'NYUMBANI' YANGA ASAINI MKATABA WA MIAKA 2, ATAMBULISHWA RASMI LEO

    KATIBU Mkuu wa Mabingwa wa Soka  Tanzania Bara, Yanga ya jijini Dar ...

0
*HOTUBA YA 'MR. SUGU' YAAHIRISHA KIKAO CHA BUNGE MJINI DODOMA LEO YAPIGWA 'STOP' *HOTUBA YA 'MR. SUGU' YAAHIRISHA KIKAO CHA BUNGE MJINI DODOMA LEO YAPIGWA 'STOP'

  Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni kwa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo iliyokuwa ikisomwa na Msemaji (Waziri Kivul...

0
ALIYEACHIWA NA RAIS KWA MSAMAHA AIBA TENA ALIYEACHIWA NA RAIS KWA MSAMAHA AIBA TENA

MKAZI wa kata ya Nyakato katika Manispaa ya Musoma Msafiri Antony (34) aliyeachiwa na Msamaha wa Rais aprili 26 mwaka huu katika sherehe za...

0
 SERIKALI YAJIPANGA 'KUTANGAZA TENDA' KUBINAFSISHA TRENI YA MWAKYEMBE SERIKALI YAJIPANGA 'KUTANGAZA TENDA' KUBINAFSISHA TRENI YA MWAKYEMBE

  BAADA ya Serikali kubuni na kufanikiwa kuanzisha na kuendesha usafiri wa treni jijini Dar es Salaam, sasa inajipanga kubinafsisha usa...

0
HIVI NDIVYO MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA HABARI LEO WA MUSOMA THOMAS DOMINIC ALIPOFUNGA PINGU ZA MAISHA NA BI HAPPY KATIKA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MUSOMA  MEY 16 HIVI NDIVYO MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA HABARI LEO WA MUSOMA THOMAS DOMINIC ALIPOFUNGA PINGU ZA MAISHA NA BI HAPPY KATIKA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MUSOMA MEY 16

BLOG HII INAKUPONGEZA SANA KWA KUAMUA KUONA UBACHELA UNA WAKATI WAKE NA KUAMUA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA NA...

0
KOCHA TAIFA STARS ATAJA KIKOSI CHA KUIVAA MOROCCO KOCHA TAIFA STARS ATAJA KIKOSI CHA KUIVAA MOROCCO

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen leo (Mei 16 mwaka huu) ametaja kikosi cha wachezaji 26 watakaoingia kambini kujiwinda kwa mechi...

0
MASHABIKI SIMBA YANGA NANI KUCHEKA JUMAMOSI MASHABIKI SIMBA YANGA NANI KUCHEKA JUMAMOSI

    Tiketi kwa ajili ya pambano la Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Yanga litakalochezwa keshokutwa (Jumamosi) kwenye Uwan...

0
BUNDUKI NNE ZA UHALIFU ZAKAMATWA MKOANI MARA BUNDUKI NNE ZA UHALIFU ZAKAMATWA MKOANI MARA

JESHI la polisi mkoani Mara limekamata bunduki nne zinazodaiwa kutumika katika matukio mbalimbali ya uhalifu ambayo yamekuwa yakilipotiwa ...

0
DIWANI CHADEMA MUSOMA AMJIA JUU DC MSOME DIWANI CHADEMA MUSOMA AMJIA JUU DC MSOME

DIWANI wa kata ya Buhare katika Manispaa ya Musoma kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) David Katikiro amemjia juu mkuu wa ...

0
WAZABUNI MARA KUIFIKISHA SERIKALI MAHAKAMANI WAZABUNI MARA KUIFIKISHA SERIKALI MAHAKAMANI

WAZABUNI wa ndani katika mkoa wa Mara,wameanza taratibu za kuifikisha serikali mahakamani   kwa madai ya kushindwa kuwalipa deni lao linaoda...