0
JESHI LA POLISI MKOANI MARA LIMEWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA PASAKA KWA AMANI JESHI LA POLISI MKOANI MARA LIMEWATAKA WANANCHI KUSHEREHEKEA PASAKA KWA AMANI

JESHI LA la Polisi mkoani Mara limewataka Wananchi kusherekea sikukuu ya Pasaka kwa amani na utulivu bila kufanya matukio yoyote ambayo ...

0
MADIWANI CHADEMA WAGOMEA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI TARIME MADIWANI CHADEMA WAGOMEA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI TARIME

MADIWANI 16 wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamegomea kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo...

0
POLISI MBALONI KWA KESI YA KUHUJUMU UCHUMI POLISI MBALONI KWA KESI YA KUHUJUMU UCHUMI

WALIOKUWA askari wa Jeshi la Polisi wa Biharamulo mkoani Kagera David Duma Dalema(36) na Gerald Tuji Kabalenga(33) pamoja na watu weng...

0
MWANAMKE KIKONGWE AUWAWA NA KUFUKIWA SHIMONI MWANAMKE KIKONGWE AUWAWA NA KUFUKIWA SHIMONI

MWANAMKE kikongwe mwenye umri wa miaka 72 ameuawa na watu  wasiofahamika kisha kumzika katika shimo lenye urefu wa futi moja huku kichw...

0
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH) KIJITONYAMA MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH) KIJITONYAMA

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH) KIJITONYAMA 5 :- Makamu wa Rais wa Jamhur...

0
DUKA LA NGUO LA HOME BOUTIQUE FM FASHION LA MJINI MUSOMA LAPUNGUZA BEI KWA AJILI YA MAJIRA YA SIKUKUU YA PASAKA DUKA LA NGUO LA HOME BOUTIQUE FM FASHION LA MJINI MUSOMA LAPUNGUZA BEI KWA AJILI YA MAJIRA YA SIKUKUU YA PASAKA

      Duka la kisasa linalojishughulisha na uuzaji wa nguo,viatu,mikoba na...

0
KAMANDA KAMUGISHA AHAIDI KUIPA SAPOTI TIMU YA POLISI TARIME KAMANDA KAMUGISHA AHAIDI KUIPA SAPOTI TIMU YA POLISI TARIME

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa maarum wa kipolisi Tarime/Rorya Justus Kamugisha amesema baada ya timu ya soka ya Polisi Tarim...

0
HIVI NDIVYO DIAMOND PLUTINUM ALIVYOPAGAWISHA MUSOMA MWISHONI MWA WIKI HIVI NDIVYO DIAMOND PLUTINUM ALIVYOPAGAWISHA MUSOMA MWISHONI MWA WIKI

kikazi zaidi jukwaani kila mmoja aliitaka kupata picha kupitia camera ya simu full vicheko vya kiburudani ...

0
NSSF KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA YA MWALIMU NYERERE MUSOMA NSSF KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA YA MWALIMU NYERERE MUSOMA

SERIKALI mkoani Mara imesema taratibu za ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mwalimu Nyerere Kwangwa ineendelea vizuri baada ya Sh...

0
WAKENYA WASUBILI MATOKEO YA URAIS WAKENYA WASUBILI MATOKEO YA URAIS

Siku nne baada ya kupiga kura wakenya wangali kujua mshindi, wa urais, baadhi ya yaliyojitokeza hadi sasa ni pamoja na malalamishi ya m...

0
TUME YA KUCHUNGUZA KUSHUKA KIWANGO CHA UFAULU KIDATO CHA NNE YAOMBA USHIRIKIANO TUME YA KUCHUNGUZA KUSHUKA KIWANGO CHA UFAULU KIDATO CHA NNE YAOMBA USHIRIKIANO

  Tume ya Taifa iliyoundwa na Mh. Waziri mkuu Mizengo Pinda kuchunguza kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwa...

0
JAMII YATAKIWA KUACHA UNYANYASAJI WA WANAWAKE JAMII YATAKIWA KUACHA UNYANYASAJI WA WANAWAKE

JAMII imetakiwa kubadilika na kuachana na vitendo vya Ukatili wa Kijinsia kwa Wanawake kwani kufanya hivyo kunawafanya Wanawake kuwa wa...

0
MAOFISA POLISI WALIOKUTWA WAKICHIMBA DHAHABU HIFADHI YA SERENGETI WAPANDISHWA KIZIMBANI MAOFISA POLISI WALIOKUTWA WAKICHIMBA DHAHABU HIFADHI YA SERENGETI WAPANDISHWA KIZIMBANI

HATIMAYE maafisa  wa polisi na usalama wa Taifa waliokutwa wakichimba dhahabu katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara  wamefikish...

0
CORD WADAI HUJUMA KWENYE UCHAGUZI NCHINI KENYA CORD WADAI HUJUMA KWENYE UCHAGUZI NCHINI KENYA

Mgombea mwenza wa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga, amesema kuwa kuna ushahidi kuonyesha kuwa kuna hujuma dhidi yao katika dhughuli ya...

0
MKAKATI WAANDALIWA KUZUIA UKIMWI MKOANI MARA MKAKATI WAANDALIWA KUZUIA UKIMWI MKOANI MARA

MKOA wa Mara umeandaa mkakati wa miaka mitatu wenye lengo la kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi pamoja na kubolesha afya za wali...

0
WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MAENDELEO WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MAENDELEO

  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu amewataka wanawake nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za maendel...

0
MAKAMO WA RAIS AMALIZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI MARA MAKAMO WA RAIS AMALIZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI MARA

MAKAMO wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal amezindua rasmi Kivuko cha MV Musoma na kutoa wito kwa Wananchi ku...